Arsenal na Manchester City vyawa vilabu tajiri duniani

sasa kumtangaza emirates ndio wanadaiwa? Sijasema sehemu mimi mishahara ya arsenal ni zaid ya man na madrid, ila nimekuambia uache uongo kusema Mishahara ya arsenal ni midogo, wakati ipo Top ten ya timu zinazolipa vizuri,

Arsenal kutumia jina la emirates , sio kwamba wanadaiwa acha uongo
Leta data hapa useme wanadaiwa bei gani, maana hao emirates wanaipa arsenal hela, na ndege bure kwa kila safar zao

HUWEZI kusema timu inalipa mishahara kidogo , wakati ipo top ten, hizo kuwa arsenal inalipa kidogo, ni za kijiweni

Nimekuwekea data arsenal inapopiga hela zaid ni kupitia uwanja, ukumbuke Haina madeni , na jez inauza,

UNABISHANA NA WATU WALIOPATA DATA ZA VITABU VYA BENK VYA KILA KLABU, WAKATI WEWE UNATAKA KUTOA DATA KICHWANI NA STORY ZA KAHAWA,

Mpira now days umebadilika, ndio maana watu ulaya walikuwa shocked man city alipotangaza hana deni pamoja na kufanya usajiri wa kufuru,
 
yah wanadaiwa, ndio maana nimekwambia usikariri deni liwe in terms of money,

tuchukulie mfano deal la man u la adidas. deal zima ni pound milioni 600. kila mwaka man u anapewa 75m

arsenal alikuwa anahitaji hela za madeni ya uwanja emirate akampa in return atangaziwe emirate kwa miaka 15. so arsenal alishakula hela kinachofanywa sasa hivi ni kulipa fadhila na sio kwamba emirate anatoa hela tena. hela za emirate ni ule uwanja. so mpaka deal likikamilika hio miaka ikiisha ndio kama wataamua uitwe tena emirate au wauite wenger watajua wenyewe.

na sijasema arsenal analipa kidogo kama unavyotaka wewe kuongeza chumvi nimesema analipa kidogo compare na mabwana wakubwa.

leo hii ozil na alexis si wanataka kuondoka sababu ya mishahara? kama wanalipa vizuri kama unavyotaka kutuaminisha si muwalipe basi? mikataba si inaisha?

arsenal mshahara wa juu ni 150k anaolipwa ozil hebu angalia mishahara ya kina hazard, pogba, ronaldo, messi, neymar, aguero etc wote ni 200k na zaidi. arsenal hawezi lipa mishahara hio

angalia hapa

European football clubs top 10 wage bills: PSG top Barca | Daily Mail Online

na kila ninachoongea nakuekea na links. kama hizo website ni vijiwe vya kahawa sawa.

mtu kama alexis anakula hela za pipi kifua tu ngoja aende kwa wanaolipa mishahara psg na city ndo utajua kama arsenal analipa mishahara mikubwa.
 
Yaan unapuyanga sana, eti emirates unadaiwa mara ni fadhila, hujui huo ni mkataba? Acha porojo, Kwahiyo chevloret pale man u ni fadhila?

Halafu usidanganye , arsenal overlall inalipa vizuri. , hiyo kulipa kidogo sijui unaitoa wap

Halafu usiwe muongo et sababu ya ozil na sanchez kutaka kuondoka ni mishahara midogo, acha uongo

Arsenal ilifikia kuwapa hadi offer ya paun 300k per week ,
 
Tatizo unaleta story za kahawa, eti ozil na sanchez wametaka mishahara mikubwa wamenyimwa mara arsenal haiwez kulipa mishahara mikubwa

Ulianza ohoo arsenal inabana mishahara ili ilipe deni,

Ukahamisha magoli ohoo wanadaiwa na emírates

Wakati emirate wanailipa arsenal,

Swala la ozil na sanchez sio mishahara , kama mishahara walishapewa hiyo offer

Arsenal facing £290,000-a-week wage demand from Mesut Özil and Alexis Sanchez

Swala lao ni zaidi ya swala la mishahara,

Na mpaka sasa Ozil anabaki, sanchez ndio anaondoka,

Usipende kuleta habari za vijiweni na kuhamisha magoli,

Umekazana arsenal inalipa mishahara midogo, wakati average yake inalipa vizuri ndio maana ipo Top ten,

Endelea kuhamisha magoli tena
 
elewa kutofautisha per year deal na kulipwa one time payment ujenge uwanja.

chevrolet kila mwaka wanaipa man u around 50m wakae kwenye jezi. hawajamlipia man u deni na man u wana uhuru waitumie vipi hio hela, wakiamua waitoe sadaka, wakiamua wasajili mchezaji wakiamua walipe mishahara ni wao. ona utofauti na deal la arsenal la uwanja.

na nimekuwekea link hapo juu bado unabisha? una ushahidi gani kama arsenal wametoa 300k zaidi ya tetesi? fact zilizopo sasa hivi ni kwamba arsenal analipa mshahara mkubwa wa 150k siku mtu akitia saini huo wa 300k nishtue.
 
Sasa hujui kuwa emirates inaipa arsenal mpunga kila msimu ? Au hujui hilo, et fadhila,

Eti arsenal haiwez kulipa mishahara mikubwa nimekupa link unaleta porojo, mm nitakuchapa tu,

Elewa swala la kina ozil na sanchez sio mishahara, usikurupuke

Na kwakukusaidia arsenal huwa inaingiza hela nyingi , tatizo ni sera yao ya kutosajiri kwa fujo

Arsenal earn more from home games than Real Madrid, Barcelona or Man United

Na kuna wakati huwa inaingiza hela nyingi , kuliko hata hiyo man u, na madrid yako, Audit huwa ikipita inasema hivo, SASA
WEWE UNALETA POROJO. ,

 
Ahsante kwa kuwaelewesha wale wagum wa kuelewa kama wagalatia..Na hii ya club za madrid,man u nk ni wana maden ya kufa mtuu.leo hii ma bank yakiamua kuchukua chao wanabakia kama mbao fc tuu.
 
Ona ulivyo muongo, dili la emirates na arsenal halina tofauti na dili la man u na chelvrolet

Emirates wanaipa arsenal kila msimu paun mill 30 , na huduma za usafiri wa ndege bure

Hiyo hela arsenal watajijua wao waitumie vipi,

Usidanganye umma, deni la arsenal la uwanja lilishaisha kitambo sana,

Kama arsenal wanatoa fadhila kwa fly emirates hizi hela wanapewa za nini?

Arsenal football club have signed a new £150m deal with Emirates airline, extending its shirt sponsorship to 2019.

The naming rights to the Emirates Stadium in north London were also extended to 2028 as part of the deal.

In total, the agreement brings in £30m a season for Arsenal in terms of shirt and stadium sponsorship.



HIZO POROJO ZA VIJIWE VYA KAHAWA NIPO KUZISAMBARATISHA,

watu wamefanya auditing, wameangalia ktk akaunt za hivo vilabu, wamefanya analysis

Wewe upo huku mbagala kimbangulile , UNAPINGA,
 
mkuu muongo mimi au wewe? nani amesema kuhusu jezi? jezi umeziingiza wewe tunaongelea naming rights za uwanja. ndio jezi ni sawa na chevrolet.

na unapotumia neno extended inamaana wanaongezea toka hapo walipoishia, ambao mkataba wa kwanza unaishia na links nimekuwkea hapo juu na sasa hivi nakuwekea tena.

Arsenal-Emirates deal worth £100m
 
Hujajibu hoja zaidi unalalamika tu

Ulisema arsenal wana deni la uwanja ,ndio maana emirates wapo pale kama fadhila, nimekuuliza hizo hela wanatoa kwa misingi ipi, ?

Hujaleta uthibitisho arsenal anadaiwa bei gan kwenye uwanja,

By the way dili la arsenal na emirates sio paun mil 100 ni 150 na huwa kila mwaka wanatoa 30

Hilo dili lilipanda, na mkataba mpya wakisaini linapanda zaid kwa maelezo ya IVAN GAZIDS

soma hapa , BBC SPORT

Arsenal in £150m Emirates deal
 
Nilisahau kukuambia na huu uongo mwingine, yaan inaonesha haupo UPDATED bado umekariri ishu za zamani,

Arsenal mtu anayelipwa zaidi sio 150k , yaani wewe ni muongo balaa

Arsenal anayelipwa zaidi ni LACAZETTE. anakula paaun 200k per week

Kina ozil na sanchez kama wangesaini mishahara yao ingepanda had 290-300k

Umekazana kabisa arsenal hailipi vzr, hizo ni story tunazipataga vibanda umiza
 
hahaha funny unaleta source ya picha halafu imeandikwa signing to be confirmed (umesha confirm?), kwa kutumia hizo picha kama source ndio hupigi story za vijiwe?

source ninazoziona za baada ya usajili na sio tetesi za usajili unazoleta wewe lacazette anakula 100k na sio 200k

kama una source tofauti ya baada ya usajili then ilete, nimecheki sehemu mbali mbali hakuna mwenye uhakika wa mshahara wa lacazette, na source za karibuni zinaonesha ni 100k.

http://www.totalsportek.com/money/arsenal-player-salaries

Full list of the Arsenal players' weekly wages: Alexis Sanchez and Mesut Ozil on £140k-per-week - Daily Cannon

nasubiria source ya arsenal wenyewe niamini huo wa 200k
 
Mkuu utaaibika shauri yako

Lacazette ndio anakula 200k pale arsenal

https://www.nigerianinfopedia.com/official-list-arsenal-players-salaries/
 
Mkuu utaaibika shauri yako

Lacazette ndio anakula 200k pale arsenal

Official List of Arsenal Players Salaries 2017-18 (Updated) - Nigerian Infopedia


 
Usipende uongo laca hawez kula 100k yule anapewa 200k inaonesha jinsi gani ulivyo shallow

Ingia hapa ...

Arsenal Football Players Salary Weekly Wages | Alexandre lacazette salary
 

Hapo wametizama madeni ya timu, utajiri wa wamiliki wa timu ndio maana Man United iko nafasi ya 6 kwasababu ya deni ambalo Glazer walikopa pesa ya kuinunulia hiyo club.
Pia kwa upande wa Madrid, hii timu inaendeshwa na wanachama kwahiyo inakua ngumu kuangalia utajiri wa mmiliki.
Kwa upande wa Chelsea ingeingia kwenye top 5 lakini tajiri wake mali zake ameziandikisha kwa mkopo.
Barcelona inashika nafasi ya 13 kwenye hiyo list.
 
Upo sahihi ,sasa kuna mdau anabisha hapo ,
 
Usipende uongo laca hawez kula 100k yule anapewa 200k inaonesha jinsi gani ulivyo shallow

Ingia hapa ...

Arsenal Football Players Salary Weekly Wages | Alexandre lacazette salary
nimeona source yako ni waproom na nigeria infopaedia shukran,

nataka source ya kuaminika na isiwe ni tetesi ya usajili iwe ni ya karibuni ikionesha lacazette anakula 200k

na tu assume mpo sahihi anakula 200k, yeye 200k na kina ozili 150 sijui 140k still ni hela ndogo sana compare na top clubs kina neymar na messi, ronaldo, pogba, etc
 
Shida hapa ni lugha. Aliyeanzisha thread naye pia hakuelewa utajiri unaozungumziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…