hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
sasa kumtangaza emirates ndio wanadaiwa? Sijasema sehemu mimi mishahara ya arsenal ni zaid ya man na madrid, ila nimekuambia uache uongo kusema Mishahara ya arsenal ni midogo, wakati ipo Top ten ya timu zinazolipa vizuri,-kwenye mishahara
mbona unamtafuta mnyonge bayern? tunacompare arsenal vs man u/barca/madrid una data arsenal analipa kushinda hao?
-deni la uwanja
mkuu unafahamu jina halisi la uwanja wa emirate? unaitwa Ashburton grove. wazungu ni wajinga kiasi hicho waache jina lao la asili na kuuita uwanja jina la emirate? jina la kiarabu?
ukweli unaofahamika emirate wameingia mkataba wa miaka 15 wawasaidie kujenga uwanja kwa kutoa mamia ya mamilioni ya pounds na emirate umejengwa 2004 so tufanye hesabu rahisi
2004 + 15 tunapata 2019
so njoo mwakani mkuu kusema hizo kauli kwamba mmemaliza deni la uwanja. deni sio lazima liwe mfumo wa pesa, kumtangazia mtu bure pia ni deni,
hii article ya mwaka 2004 wakati wanasign hilo deal
Arsenal-Emirates deal worth £100m
na hii ilikuwa ni statement ya msemaji wa arsenal
"The club said today the revenues from the Emirates deal, which are weighted towards the earlier years of the contract, would give it the financial muscle to meet loan repayments on the new ground as well as compete in the transfer"
na usisahau uwanja ni source moja ya mapato vipi kuhusu mauzo ya jezi, mapato ya jezi toka wadhamini mfano deal la jezi la man u la pound milioni 600 arsenal wanapata ngapi vile? hilo la man u kwa mwaka ni 75m wakati arsenal ni 30m,
Arsenal kutumia jina la emirates , sio kwamba wanadaiwa acha uongo
Leta data hapa useme wanadaiwa bei gani, maana hao emirates wanaipa arsenal hela, na ndege bure kwa kila safar zao
HUWEZI kusema timu inalipa mishahara kidogo , wakati ipo top ten, hizo kuwa arsenal inalipa kidogo, ni za kijiweni
Nimekuwekea data arsenal inapopiga hela zaid ni kupitia uwanja, ukumbuke Haina madeni , na jez inauza,
UNABISHANA NA WATU WALIOPATA DATA ZA VITABU VYA BENK VYA KILA KLABU, WAKATI WEWE UNATAKA KUTOA DATA KICHWANI NA STORY ZA KAHAWA,
Mpira now days umebadilika, ndio maana watu ulaya walikuwa shocked man city alipotangaza hana deni pamoja na kufanya usajiri wa kufuru,