Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhhhh mkuu naona haijakuingia.....!!!!Ha ha from very unreliable source
Kabisa sisi ndo tunaongoza kwa statistics za mwaka jana Forbes lakini si hapa inawezekana the gunners wako wa EPL [emoji23][emoji23]Hhhhhhhh mkuu naona haijakuingia.....!!!!
Hawa waliohongwa na MO wa simba ?Mtandao wakichina angalia fobes
watoe hao forbes, mapato ya vilabu je?Forbes washawahi kuhongwa na mohamed dewji
Forbes wapo kibiashara ,usiwape dhamana
Exactly lazima nikuunge mkono mkuu tupo pa1......nipo hapa nakomaa na kina man u 'nawaponda' hhhhhhhKabisa sisi ndo tunaongoza kwa statistics za mwaka jana Forbes lakini si hapa inawezekana the gunners wako wa EPL [emoji23][emoji23]
Lakini hata nikitetea Barca inabidi uniunge mkono pia [emoji23]
Ndo manake kubabake wanAosema gunners hana hela wakuje hapa.....,ndo tunaanza hivyo leo kufunga midomo Europe....., tumeanza na Chelsea babake.....,bado wengine kubabake.....
Una uhakika haichukui vikombe ama unatema shombo2....?????Timu ikiwa tajiri na haichukui vikombe washabiki wanafaidikaje?
Una uhakika haichukui vikombe ama unatema shombo2....?????
Last season hakuchukua kumbe lolote si ndio....?????Inachukua mkuu.
Nisamehe.
Last season hakuchukua kumbe lolote si ndio....?????
Endelea kukaza ubio....!!!!Mkuu mbona nishakubali na nikasema nisamehewe, au?
mkuu kuna vitu unashindwa kuvitofautisha kwenye maswala ya account timu ikiwa na madeni sana ndio kusema sio tajiri,chukulia mfano USA ndio anaongoza kwa madeni duniani,lakini USA huyo huyo ndio anachuuliwa kama nchi tajiri kiuchumi duniani na ndio inaongoza kwa kutoa misaada kuliko nchi yyte duniani je USA ni masikini kwa kuwa ana madeni mengi? jibu ni hapana-hapa ndipo panapokuja maswala ya AACCOUNTS.Man u ,chelsea na madrid ni vilabu vinavyojiendesha kwa madeni,
Ukichukua mapato yao toa na madeni , wanabaki na hela za kawaida
Mwez uliopita ,Audit ilifanyika man city ,ikaonekana wapo njema hawana NEGATIVE, wana zero debit
Arsenal hawajasajiri kwa fujo, kiingilio cha emirates ni kikubwa ULAYA NZIMA, hawana madeni makubwa
Acha uongo mkuu ,umeongea uongo mwingi sanawatoe hao forbes, mapato ya vilabu je?
kama man city, arsenal, spurs etc wanatangazo mapato madogo compare na kina barca, madrid, man u je na hizo club zimehongwa zitoe mapato kidogo?
hivi na akili zako timamu unaamini timu kama spurs ambayo ndo kwanza inajenga uwanja, timu kama arsenal ambayo mpaka leo haijamaliza deni la uwanja inakaba wachezaji iwalipe mishahara midogo na timu kama man city ambayo hata uwanja haina inategemea uwanja wa jiji la manchester na uwanja wenyewe haujai umepewa nickname emptihad zinaweza kweli kuwa na hela kushinda barca madrid na man u?
ukiangalia source za hela za mpira
1. uwanja, barca madrid na man u zina viwanja vikubwa zaidi
2. idadi ya mashabiki timu hizo tatu kubwa zinao wengi zaidi
3. mauzo ya jezi yametawaliwa na messi, ronaldo, zlatan, neymar, pogba, de gea etc
4. deal kubwa za jezi duniani utasikia ni adidas man u na madrid, barcelona nike etc
sasa kama kila source za revenue wametawala hao mabwana wakubwa hebu tumia angalau asilimia moja ya akili yako uniambie totenham, arsenal au city wamefanya nini wawapite hao.
Kwa hiyo unabishana na hao mabwana wakubwa waliofanya utafiti , na kuulizia kiasi kilichopo ktk kila klabu, unataka tukusikilize wewe unayetoa mawazo yako kichwan?mkuu kuna vitu unashindwa kuvitofautisha kwenye maswala ya account timu ikiwa na madeni sana ndio kusema sio tajiri,chukulia mfano USA ndio anaongoza kwa madeni duniani,lakini USA huyo huyo ndio anachuuliwa kama nchi tajiri kiuchumi duniani na ndio inaongoza kwa kutoa misaada kuliko nchi yyte duniani je USA ni masikini kwa kuwa ana madeni mengi? jibu ni hapana-hapa ndipo panapokuja maswala ya AACCOUNTS.
![]()
angalia hiyo balance sheet utajifunza kitu.
katika uzi wako ungesema hizo clup ndio zinaongoza kwa mapato kwa sasa,sio kwa utajiri.ndio maana ukirudi kwenye ACCOUNTS pale msimu ukiisha ARSENAL huwa inaonekana ndio clup inaongoza kwa mapato kutokana na sera zao,lakini haimanishi arsenal ni tajiri kuzid man u
Eti arsenal inalipa mishahara midogo ,duhwatoe hao forbes, mapato ya vilabu je?
kama man city, arsenal, spurs etc wanatangazo mapato madogo compare na kina barca, madrid, man u je na hizo club zimehongwa zitoe mapato kidogo?
hivi na akili zako timamu unaamini timu kama spurs ambayo ndo kwanza inajenga uwanja, timu kama arsenal ambayo mpaka leo haijamaliza deni la uwanja inakaba wachezaji iwalipe mishahara midogo na timu kama man city ambayo hata uwanja haina inategemea uwanja wa jiji la manchester na uwanja wenyewe haujai umepewa nickname emptihad zinaweza kweli kuwa na hela kushinda barca madrid na man u?
ukiangalia source za hela za mpira
1. uwanja, barca madrid na man u zina viwanja vikubwa zaidi
2. idadi ya mashabiki timu hizo tatu kubwa zinao wengi zaidi
3. mauzo ya jezi yametawaliwa na messi, ronaldo, zlatan, neymar, pogba, de gea etc
4. deal kubwa za jezi duniani utasikia ni adidas man u na madrid, barcelona nike etc
sasa kama kila source za revenue wametawala hao mabwana wakubwa hebu tumia angalau asilimia moja ya akili yako uniambie totenham, arsenal au city wamefanya nini wawapite hao.
Acha uongo mkuu ,umeongea uongo mwingi sana
Nani kakuambia arsenal inalipa mishahara midogo? Usiongee bila fact , Top ten ya timu zinazolipa vizuri mishahara arsenal ipo, kuliko hata baryen munich
Arsenal hiyo hiyo unadanganya inadaiwa deni la uwanja, huna fact
Arsenal ilishamaliza deni la uwanja kitambo sana,
Kuhusu kuwa na uwanja mkubwa hao madrid ,barca na man u , lazima utambue hivo viwanja ni vy kizamani ,
Halafu usikariri kuwa na uwanja mkubwa bas ndio utakuwa na mapato makubwa ya uwanjani
Uwanja wa emirates ni uwanja wakisasa kwa karne hii , ukitaka nitakuchambulia page nzima jinsi ulivyo
Uwanja wa emirates unachukua mashabiki 60k, lkn kiingilio chake ni kikubwa ,na kimekuwa kikilalamikiwa na vilabu vinavyotembelea EMIRATES,
Nitakuwekea data,
Takwimu za msimu ulioisha arsenal ilikuwa juu kwa mapato ya uwanjani ikifatia OT,
According to the study, Arsenal have £766 million worth of fixed assets -- following their move from Highbury to the Emirates Stadium -- more than any other club in world football, while only Manchester United have more money in the bank (£307m) than Arsenal's £300m.
Premier League ticket prices: which clubs charge the most?
![]()