kyula
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 698
- 458
Hiyo list labda uwe punga ndy utaiaminiYani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo list labda uwe punga ndy utaiaminiYani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Jamaa liongo hili dah!!Man u ,madrid nguvu yao ipo kwenye mikopo zaid
Psg, man city hawakopi wanachofanya wamiliki wao wanahamisha hela zao kuzileta kwenye club kwa njia mbali mbali kama Udhamini, mfano MAN CITY, kupitia shirika la ETIHAD, wamepitisha MPUNGA MREFU sana kuuingiza Man city
SASA WATU BADO WANAKARIRI ,man u ,madrid ndio vilabu tajiri,
Pale PSG nasser anachofanya anahamisha HELA kupitia haki za matangazo, kupitia mashirika ya ndege kama emirates ,na Tv rights hasa BEIN SPORT,
SASA WAHAFIDHINA ENDELEENI KUAMINI MAN U NA MADRID NDIO VILABU TAJIRI
Baada ya miaka mitano vilabu tajir vitakuwa PSG,ARSENAL ,MAN CITY
Arsenal sio watumiaji wakubwa wa hela ovyo, pia hawana madeni
Na wana base ya mashabiki wanaonunua jez, wana kiingilio kikubwa kupitia GATE COLLECTION, mara mbili zaid ya cha OLD TRAFFORD
ARSENAL akiondoka wenger itafanya usajir mkubwa ,kwakuwa Ina base ya utajir sawa na kina PSG NA MAN CITY
Punguza povu ulilazimishwa kuupenda huo msukule wako?Sasa vikombe tunavyobeba anachezamo babAko ama....????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mods peleka huu uzi jukwaa la vichekesho au hata chit chat
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2]Inachukua mkuu.
Nisamehe.
Ulishaga olewa dada ama bado....????Punguza povu ulilazimishwa kuupenda huo msukule wako?
Nasubiri nioane na bimkubwa wakoUlishaga olewa dada ama bado....????
Umuoe ama akuoeNasubiri nioane na bimkubwa wako
Mm dume la mbegu subiri uniite babaUmuoe ama akuoe
Unawashwa sehemu...Mm dume la mbegu subiri uniite baba
Kila kitu unabisha tu,nimeona source yako ni waproom na nigeria infopaedia shukran,
nataka source ya kuaminika na isiwe ni tetesi ya usajili iwe ni ya karibuni ikionesha lacazette anakula 200k
na tu assume mpo sahihi anakula 200k, yeye 200k na kina ozili 150 sijui 140k still ni hela ndogo sana compare na top clubs kina neymar na messi, ronaldo, pogba, etc