2025DG JF-Expert Member Joined Jan 30, 2023 Posts 520 Reaction score 1,498 Feb 2, 2023 #1 Hello. Naiona Yanga wakichukua ubigwa wa mwaka 2022/2023 wa NBC premier ligi ikiwa imebaki pointi 21 watangazwe ubigwa. Naiona Arsenal ikienda kuchukua ubigwa wa Epl mwaka huu. Huu ni utabiri wangu.
Hello. Naiona Yanga wakichukua ubigwa wa mwaka 2022/2023 wa NBC premier ligi ikiwa imebaki pointi 21 watangazwe ubigwa. Naiona Arsenal ikienda kuchukua ubigwa wa Epl mwaka huu. Huu ni utabiri wangu.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Feb 2, 2023 #2 Sawa mtabiri tambi tambi.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Feb 2, 2023 #3 Sisi aseno hatuna shida na ubingwa ila mkiamua kutupa tunachua hamna namna, sisi mkakati wetu ni kuhakikisha Kila mechi tunachua point tatu
Sisi aseno hatuna shida na ubingwa ila mkiamua kutupa tunachua hamna namna, sisi mkakati wetu ni kuhakikisha Kila mechi tunachua point tatu
mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,255 Reaction score 3,972 Feb 2, 2023 #4 Hili liko wazi mbona hata waokota makopo wanalijua