Arsenal na Yanga wanaenda kuwa mabigwa mwaka huu

Arsenal na Yanga wanaenda kuwa mabigwa mwaka huu

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Hello.

Naiona Yanga wakichukua ubigwa wa mwaka 2022/2023 wa NBC premier ligi ikiwa imebaki pointi 21 watangazwe ubigwa.

Naiona Arsenal ikienda kuchukua ubigwa wa Epl mwaka huu.

Huu ni utabiri wangu.
 
Sisi aseno hatuna shida na ubingwa ila mkiamua kutupa tunachua hamna namna, sisi mkakati wetu ni kuhakikisha Kila mechi tunachua point tatu
 
Back
Top Bottom