Arsenal ndiyo timu pekee yenye Jukwaa maalumu la Mashoga uwanjani

Ushoga upo tangu enzi za sodoma na gomora inabidi tukubali na tuzoee kuishi nao. Hata mungu alijaribu kuwaangamiza lakini wameendelea kuwepo
 
Kuuumbe ndo maana Arsenal ni kama INA gundu
 
Ushoga upo tangu enzi za sodoma na gomora inabidi tukubali na tuzoee kuishi nao. Hata mungu alijaribu kuwaangamiza lakini wameendelea kuwepo

Kwa hiyo Ndugu yangu unawatetea???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…