Arsenal ndiyo timu pekee yenye Jukwaa maalumu la Mashoga uwanjani

Arsenal ndiyo timu pekee yenye Jukwaa maalumu la Mashoga uwanjani

Watford Fc inayoshiriki ligi kuu ya EPL, katika uwanja wao wa Vicarage Road wana jukwaa lijulikanalo kama Sir Elton John Stand.
 
Watford wana jukwaa la Sir Elton John kama kumbukumbu yake kwani aliwahi kuwa Mwenyekiti wake.
Lakini jukwaa hilo sio rasmi kwa mashoga.
 
Duuuh...Arsenal mnasemaje kuhusu msumari huu ambao ni laana?
 
Nawaponheza sana Arsenal kwa hili. Ni aibu wanaume kukaa jukwa moja na mabwabwa! Yaani nyote mnachanganyikana??? Alafu mtu mmoja anasema 'kuna mashoga wamekaa jukwaa lilieeeee" na wewe ukiwa jukwaa hilo hilo unajisikiaje?? Manina. Wakae peke yao na vinyeo vyao vilivyolege
 
Back
Top Bottom