Arsenal nini kifanyike na nini tatizo?

Arsenal nini kifanyike na nini tatizo?

Samaritan Nemesis

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
239
Reaction score
284
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.

Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
 
Jana mlionyesha mchezo bora tangu nimeijua Arsenal
 
Sasa wenzio bernado silva..foden.. hawana uhakika wa kuanza then wewe tegemea ni smith rowe sijui odegaard then unataka ushindane serious kweli?
 
tatizo ni kocha,, uwezo wake ni mdogo mnooooo kulinganisha na ukubwa wa timu
 
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.

Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Timu yote ifutwe baada ya miaka 10 ianzishwe timu inaitwa arsenal.
 
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.

Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Kuna special thread ya Arsenal nadhani ingekuwa vyema ungepeleka hoja huko utakutana na Gunners wenzio.

Sasa wenzio bernado silva..foden.. hawana uhakika wa kuanza then wewe tegemea ni smith rowe sijui odegaard then unataka ushindane serious kweli?
Mbona wenga alikua anawapeleka na hao hao vidagaa wasio na majina.....
 
Back
Top Bottom