Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
Timu yote ifutwe baada ya miaka 10 ianzishwe timu inaitwa arsenal.Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Kuna special thread ya Arsenal nadhani ingekuwa vyema ungepeleka hoja huko utakutana na Gunners wenzio.Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Mbona wenga alikua anawapeleka na hao hao vidagaa wasio na majina.....Sasa wenzio bernado silva..foden.. hawana uhakika wa kuanza then wewe tegemea ni smith rowe sijui odegaard then unataka ushindane serious kweli?
Bado unambeza odegard braza?😊Sasa wenzio bernado silva..foden.. hawana uhakika wa kuanza then wewe tegemea ni smith rowe sijui odegaard then unataka ushindane serious kweli?
Kidogo tumeamka msimu huuArsenal bado wanatakiwa kujenga ile timu, wako kwenye kipindi cha mpito.
Artetaa uyooo ana paaa saivtatizo ni kocha,, uwezo wake ni mdogo mnooooo kulinganisha na ukubwa wa timu