Arsenal rahaa

Arsenal rahaa

Joined
Aug 8, 2016
Posts
98
Reaction score
81
1474788389203.jpg
1474788404639.jpg
 
tisha tisha jamaa,mapemaaaa watu walilala na soksi,wanazidi kunoga washika bunduki wa london,big up Iwobi na mnyama Mustafi
 
Wana aseno vipi tena? Mechi 1 tu mmeanzisha na thread? Halaf kuna kijamaa hapo nimekiona meno yote out hahahaha..hongereni aise
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Raha gan watu wengne mnawazaga cjui kqa kutumia, t*ko watu tumepgwa na bdo unasema rahaaa[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
hahaaaa......rahaaaa!!! au ulimaanisha evtn rahaa??
 
Back
Top Bottom