Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Pamoja na kutokuwa mshabiki wa arsenal na heshima niliyonayo kwa wenger,lakini sera zake uwa sikubaliani nazo.Sijui,lets see.
Sera zake zipi hukubaliani nazo mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kutokuwa mshabiki wa arsenal na heshima niliyonayo kwa wenger,lakini sera zake uwa sikubaliani nazo.Sijui,lets see.
Wakuu, Michael Silvester amejiunga na Arsenal kwa ajili ya kuweka defence ya Clichy, Ebue ,Gallas, Koro Toure na yeye Silvester.
Hii italeta uzoefu pale nyuma ambapo hasa Senderos amekuwa anayumba sana kwa hio Silvester ataziba pengo hilo.
Ukiangalia sana magoli ambayo Arsenal ilifungwa mwaka jana kwa sababu za kucheza vibaya kwa mabeki wa Arsenal Senderos aliongoza sana kwa kutoa mipira mingi ya adhabu ndogo au kubwa za penalt.
Johan Njorou na Phillipe Senderos ambae ni "unreliable" wanaweza kwenda kucheza kama mikopo kwa timu zingine za Premiership au kubakia benchi ambapo wataona ni kama adhabu kwa hio ni bora kama watakwenda kucheza kwa mikopo kwa timu zingine na hivyo kupata uzoefu zaidi.
Na mwakani Ganaz waandae kitita cha kumnunua Saha, L.....
Shida ya Wenga si Wafaransa tu!?
Ha ha unakumbuka miezi michache nilisema kuwa Silvestre na Saha bye bye..Bado Saha naye ajiandae kufungasha.
Richard, lets be honest on this...am not a fan of Ze Gunaz lakini signings za Mr Bean huwa zaniacha hoi sana mda flani!
Sikatai wala sipingi uhamisho wa Silvestre kuja kwenu ila what am trying to say ni signing ya mtindi gani ktk hali mliloyonayo hivi sasa
As far as the current kiwango of Silv its concerned, then no dought hana QAULITY, ya kuchezea timu yenu, hiyo signing its like an ad hoc or zimamoto signing, sijui Wenger yupo determined kiasi gani katika kufanya usajili, alikuwa na mda mrefu wa dirisha la usajili, nafikiri angeamu angeweza kupa mchezaji mzuri tuu wa ku-cover!
Nevertheles angekua huku kwetu Tz Ningemuita 'mkabila', whats the hell with the French players only? (am just curious tu)