Hivi game inayofuata, anacheza na nani vile?
Naona Van Persie hayuko kwenye list inayokwenda Villareal.
Leo nini kitajili baina yet na Villarreal? Watabili mnasemaje?
Leo nini kitajili baina yet na Villarreal? Watabili mnasemaje?
vi 2:ar 0
vi 2:ar 0
vi 2:ar 0
dakika ya ngapi mrembo?Naona Ade kasawazisha,sasa ni 1-1.mpira unaendelea
Mazee niko usweke huku sioni kitu hakuna TV ni haka ka-mobile gadget lakini tuko kwa Arse**l leo... NAWAOMBEA Mungu mshinde aisee;
Naona Ade kasawazisha,sasa ni 1-1.mpira unaendelea