Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asee nyie ni wehu, yaani mnataka mpewe makombe ya City?! Kwamba uwanjani walipanga matokeo au? Pambaneni mpate makombe yenu ya kihalali sio ya kupewa na kocha wenu huyo kilaza miaka kumi sasa ana kakombe kamoja cha set pieces.
 
Ndiyo.

Yaani kila walichopata katika hicho kipindi kibatilishwe. Iwe ni fedha za nafasi ya kwanza au ya sita, iwe ni kufika fainali na kushinda au kushindwa. Chochote walichopewa na ligi katika nafasi waliyomaliza msimu huo, kichukuliwe.
Upo sahihi lazima city waadhibiwe wakipatikana na hatia kulinda pia credibility ya Ligi ya Uingereza,maana wamekata rufaa, lakini za chini chini zinasemwa pia Man UTD ya Babu Fergie nayo ichunguzwe pia,
lakini wataadhiwa kulingana na Sheria za soka za Uingereza sio Kwa mihemko na Kwa matakwa yenu mnaoichukia man city, Mimi binafsi ni fan wa Liverpool,kpnd Cha klopp tuliteswa kweli na guadiola , lkn ndo hivyo mwenye nguvu pesa na best football tactician atashinda, na usilazimishe mchezaji alipwe Sh 200 sababu wewe huwezi kulipa millioni
 
Ukiangalia umri karibia wote wapo sawa. Kwanini mwingine aitwe timu ya taifa 2020 alafu wengine 2024?

JIBU BAKINALO
Nature ipo hivyo braza, wewe kuna watoto wamezaliwa juzi tu hapo wamepata mafanikio wamekupita hata wewe uliozaliwa zamani, haimaanishi wewe ni mzembe.
 
Wewe ndo ujiulize kwanini Saka ame debut mapema zaid yao wakati umri almost wanalingana???
 
Tzolis aliondoka mzima tumerudishiwa mbovu. Imesababisha leo Noni aanze kule LW, Zubimendi naona amezidi kushindwa kumshawishi kocha apunguze imani kwa Skelly.

Sasa changamoto inayokuja ni kwamba Zubimendi alitakiwa awe Busquet so inashtua anaposhindwa kua pale na kulazimika kua nje.

Eze labda ajirekebishe hivi karibuni ila huyu naye bado hajafanya cha kushtua. Forget statistics.

Kisha kocha wetu as usual, kamuweka Kai kama ST. Now tunaingia huku tukiwa na jeraha la chuma tatu za Brighton na mpira mzuri waliotupigia siku ile.

One thing we should learn ni kwamba tunahitaji kushuti nje ya boksi na wingers kufanya kazi kwa nguvu zote. Kitu pekee Arteta alichoona ni Rice na Guimaraes hawawezi kuanza pamoja, hiki hata tuliokua kibanda umiza tuliona.

But vipi kuhusu forwards? Kai? Eze? So let's see leo
 
Nimewabetia kenge kabisaa ole wenu mfungwe au draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…