Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

saka kiwango kimeshuka.. sio yule wa misimu miwili.. mitatu nyuma so kuendelea kumtegmea yeye ule upande ni mbaya sn kwa timu

declan nae ni uchovu ,amekuwa na kazi ngumu mno tangia partey aondke.
 
Tumeshinda

Alipoingia Viktor, Timber na Bruno mtangazaji alisema sasa Arsenal inacheza kwa intensity.

Why? Kai anacheza kama false 9. Box la mpinzani halina mtu muda mwingi. Ni idea nzuri kama timu inamiliki mpira na pattern haiingiliwi.

Viktor akiingia anabaki eneo la mpinzani halafu defense hairelax tena.

Team played better baada ya huyu mtu. Hata Bruno goli alilopata ni kwakua defense yote ilimkimbilia Victor ikaacha gap.

Fools won't see this
 
Ukweli ni kua Arsenal haivutii kuitazama na kocha hayupo serious
16033.jpg
 
Nyie vilaza tokea mmepigwa miti na Brighton naona akili zimewakaa sawa, hamuongelei ubingwa tena.
 
Kimetoka kikosi cha mechi dhidi ya Lille.

Mbele kabisa kawekwa Gyokeres.

Kulia, leo kakaa Eze. Lakini mechi iliyopita Noni alicheza vizuri kulia kuliko Eze, Arteta amemuweka Noni RW.

Why? No one knows.

Kisha tunakutana na hii stori. Merino amewekwa kama AM.

Aisee
 
Lille ipo kwenye form, imesuluhu na PSG. Ipo nafasi ya 2 kwenye ligi.

They are doing great.

Hawapo njema sana uefa kwa kuzingatia mpinzani aliyewazingua ila siyo hoja ya kuwadharau. Wana right wing nzuri, mid nzuri na Ueda akionekana analeta masihara wana Giroud bench.

Na kwakua Arsenal bado hatupo kwenye kiwango kinachokubalika ni sahihi nikisema game haitakua nyepesi
 
Lille ipo kwenye form, imesuluhu na PSG. Ipo nafasi ya 2 kwenye ligi.

They are doing great.

Hawapo njema sana uefa kwa kuzingatia mpinzani aliyewazingua ila siyo hoja ya kuwadharau. Wana right wing nzuri, mid nzuri na Ueda akionekana analeta masihara wana Giroud bench.

Na kwakua Arsenal bado hatupo kwenye kiwango kinachokubalika ni sahihi nikisema game haitakua nyepesi
Kiungo ndo itayotubeba, kiungo kikifeli siku itakua ndefu
 
Joao, jonathan david ama guirrasy kwa mid yetu wangweza kutufaa..
Madueke ni taka taka..
Baada ya kesi za city, ashtakiwe chelsea kwa utapeli wake, mason mount, andrey santos, kai, madueke, willian etc 🤣😂
 
Joao, jonathan david ama guirrasy kwa mid yetu wangweza kutufaa..
Madueke ni taka taka..
Baada ya kesi za city, ashatikwe chelsea kwa utapeli wake, mason mount, andrey santos, kai, madueke, willian etc 🤣😂
Bila kumsahau Raheem Steerling
 
Timu ya nje ya Spain ambayo ilimfunga Madrid na Madrid akazima fegi zake ni Arsenal
 
Tangu msimu umeanza Arsenal hatujafunga goli la set piece kwenye shindano lolote ambalo tumeshiriki.

Ukizifuata takwimu za hadi tarehe 10 October kwa timu za EPL na magoli ya set pieces ni Arsenal, liver na Forest ndiyo hawajascore goli la set piece.
HUSvhfIWgAALsW1.jpg


Ghafla sana husikii kelele za set pieces, hakuna anayelaumu. Jana Madrid alikua anaongozwa 3 kwa 1, akashinda 4 kwa 3, magoli 3 yote kayapata kwenye kona.

Huko 𝕏 wanasema Madrid ni genius.
 
Back
Top Bottom