Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi Eze hajanivutia tokea ajiunge nasi, Ukitoa games chache kama ile ya Totenham na ile aliyotuvusha CL naona wa kawaida sana.

Leo Madueke amepata nafasi ya kuanza tuangalie kama atajirekebisha
 
Binafsi Eze hajanivutia tokea ajiunge nasi, Ukitoa games chache kama ile ya Totenham na ile aliyotuvusha CL naona wa kawaida sana.

Leo Madueke amepata nafasi ya kuanza tuangalie kama atajirekebisha
Individual brilliance aliyokua anaionyesha Palace huku haionyeshi
 
Arsenyeto kweli wabovu aisee

Hawa Leeds nao wamekosa tu umakini ilikuwa ubao usome goli 3 hadi mda huu
 
Una striker ametoka kuscore mfululizo.

Ila unaanza kuleta ubishoo.

Haya Calafiori kasawazisha ila bado siyo dalili nzuri.

We are supposed kuscore magoli mengi. This is absurd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…