Heshima ipi Chelsea tumempiga huyo PSG 3 mtungi Tena ni fainali yenye kombeMatokeo ya PSG na Barca Jana,yanakulazimu kuwapa heshima Yao arsenal ingawa hawakuchukua ubingwa.
Man city kafa,Barca kafa tena kwa goli nyingi
Ni kombe la kirafikiHeshima ipi Chelsea tumempiga huyo PSG 3 mtungi Tena ni fainali yenye kombe
Zile chuma 8-2 huzikumbuki sio?Heshima ipi Chelsea tumempiga huyo PSG 3 mtungi Tena ni fainali yenye kombe
Mnajua kujifariji 😂Ni kombe la kirafiki
Kocha alikuwa Rosenoir kocha wa mpitoZile chuma 8-2 huzikumbuki sio?
Saka ametoka Davis kaanza kupandaSaka nje.
Now kwa aliyeingia tuone kama anaweza offer zaidi ya anachooffer Saka.
Personally, hii mechi Dowman inamhusu
Jinsi mashabiki tunavyomuangalia Saka na wachezaji wenzake na makocha jinsi wanamuangalia ni vitu viwili tofautiSaka ametoka Davis kaanza kupanda
We jamaa hauko serious kabisa. Yani mechi ya wakubwa unataka acheze mtoto.Saka nje.
Now kwa aliyeingia tuone kama anaweza offer zaidi ya anachooffer Saka.
Personally, hii mechi Dowman inamhusu
Saka mwenye mguu mmoja mzima ana hatari kuliko Madueke mwenye miguu miwili mizimaJinsi mashabiki tunavyomuangalia Saka na wachezaji wenzake na makocha jinsi wanamuangalia ni vitu viwili tofauti
Kama kweli umeanza kuangalia mechi za Arsenal zamani kama ulivyodai utakua unajua Fabregas ameanza kucheza akiwa na umri gani hapo Arsenal. Wilshere, Saka et alWe jamaa hauko serious kabisa. Yani mechi ya wakubwa unataka acheze mtoto.
Mara 10 uwe na unfit Eze kuliko acheze Dowman ukitegemea akachuane na Davis + Stanisic