Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naomba ujifunze jambo moja bwana Castr , jitahidi upunguze NEGATIVITY.. nakuona mara nyingi tu huwa unaleta mtazamo hasi jukwaani.

Kwa mfano kuna posts huwa unatuma kabla ya mechi, which are good insights kwa jinsi ulivyoona wewe.. ila ndani yke utaweka dhana ya kukosoa, yani sijui ni kujihami au kutokujiamini. Unajipa negative energy ww na watu wengine wanaosoma.
Sasa sikia nikwambie kitu, hakuna timu iliyo perfect! We mpka unaona kocha amekuanza na timu flani au kafanya mabadiliko flani ndani ya mechi ujue hajakurupuka, tena hiyo ni baada ya kushauriana na benchi lake kujua wanataka nini kwenye mechi.

Sio dhambi kocha nae ni binadamu anaweza kukosea. Wote sisi tunakosea.

Ila nakusihi jaribu kuenjoy football.. hatuwezi kuwa sawa kiuchezaji na PSG, Barcelona, City, Chelsea, etc.. sababu ya utofauti wa wachezaji, aina ya uchezaji, hali ya mchezo, etc, etc.. nadhani unaelewa nikisema hivyo maana ww ndo umetuzidi wote humu kwa kuangalia mechi nyingi yani unaangalia mpka timu ambazo hazikuhusu.

Hivyo usijilinganishe bro, hata kwenye maisha.. just enjoy football.
 
Kwa scenario ya jana still Eze alikua ahead of Dowman kwa hayo uliyosema.. hakukua na haja ya jamaa kucritisize maamuzi ya kocha.
 
Kwa scenario ya jana still Eze alikua ahead of Dowman kwa hayo uliyosema.. hakukua na haja ya jamaa kucritisize maamuzi ya kocha.

yhaa! eze ni mzoefu kuliko dowman ila kuhusu mpira mguuni.. dowman kamzidi kidg eze ,shida yake ni kutokucheza kikubwa.. ubinafsi mwingi na maamuzi yake mengi ni ya kitoto.

ila pamoja na yote hayo.. eze bado hatoshi kwenye LW ,usajili mpya ni muhimu.
 
Wewe jamaa bwana 😂

Jitahidi uwe unaelewa. Unaandika sana ila unaandika jibu lisilohusiana
 
Tusihame kwenye maisha, huko nitakosa cha kuandika. Tustick na mpira, ndiyo kitu nakijua.

Wachezaji wana strengths na weaknesses, ikatokea inakukera nikisema mchezaji A ana weakness H ikiwa exploited tumekwisha hapo sina cha kukusaidia.
 
Baada ya mechi ya jana Kompany ameiita Arsenal top opponent.

Zile kauli za mara ya kwanza safari hii hajaziongea
 
Wewe jamaa bwana 😂

Jitahidi uwe unaelewa. Unaandika sana ila unaandika jibu lisilohusiana
Nimejibu ulichouliza, tulia vizuri soma tena maswali yako na majibu niliyokupa dot by dot.
 
Wachezaji wana strengths na weaknesses, ikatokea inakukera nikisema mchezaji A ana weakness H ikiwa exploited tumekwisha hapo sina cha kukusaidia.
Hizo weakness kocha na benchi lake la ufundi hawazioni unaziona ww wa kimbiji!
 
Tusihame kwenye maisha, huko nitakosa cha kuandika. Tustick na mpira, ndiyo kitu nakijua.
Inabidi umheshimu sana mtu anaekuambia ukweli.. hebu fikiria watu wangapi wanakuzunguka lakini wameshindwa kukwambia unapozingua.

Nausubiri uchambuzi wako wa mechi ya kesho ila kwa ninavokujua lazima utarusha vijembe km kawaida yako.
 

Nyie viazi, mna wachezaji kama hawa?. Au mna kikundi cha wapiga punyeto.
 
Inabidi umheshimu sana mtu anaekuambia ukweli.. hebu fikiria watu wangapi wanakuzunguka lakini wameshindwa kukwambia unapozingua.

Nausubiri uchambuzi wako wa mechi ya kesho ila kwa ninavokujua lazima utarusha vijembe km kawaida yako.
Upo excited kusubiri ninachoandika. Nikiandika unakasirika unaanza matusi.

Ukweli kwa facts zipi? Arteta alishawahi kufanya sub na dk kumi mbele akatoa hiyo sub na kuingiza nyingine. Ambayo mashabiki tuliamini ndiyo dawa
 
Unaona sasa.
Wewe unahisi kwakua upo Masaki basi wewe na makocha ndiyo mna haki ya kujadili
Yes ndio maana nimeamua kusimama na kocha.. wewe huwezi kufikia elimu ya mpira aliyonayo Arteta hata siku moja, ila umekazana kum criticize. We km nani si mpiga domo tu wewe!
 
Upo excited kusubiri ninachoandika. Nikiandika unakasirika unaanza matusi.

Ukweli kwa facts zipi? Arteta alishawahi kufanya sub na dk kumi mbele akatoa hiyo sub na kuingiza nyingine. Ambayo mashabiki tuliamini ndiyo dawa
Ndio nasubiri kuona km utabadilika ama utaendelea kuchamba umbea.

Wewe shabiki umeamini dawa, wewe una elimu kuliko kocha?
Kwa maana nyengine unataka kusema kocha ni mjinga.. yani kayaona makosa lakini kashindwa kureact km unavyotaka wewe mshabiki wa kivule!
 
Yes ndio maana nimeamua kusimama na kocha.. wewe huwezi kufikia elimu ya mpira aliyonayo Arteta hata siku moja, ila umekazana kum criticize. We km nani si mpiga domo tu wewe!
"Huwezi kufikia elimu ya mpira aliyonayo Arteta"

"Ngoja kesho nione utachoandika"
 
Usiandike tena maneno ya jikoni ukiwa unaongea na mimi.

Elimu ipi wewe dogo? Shabiki wa Masaki una hasira unataja makazi yangu kwa nguvu sana.
Hapa mjinga ni wewe. Mimi nipo kivule naona match inahitaji intensity kwenye box la mpinzani ila kocha hakuona hivyo mwanzoni, baadaye akaona intensity inahitajika akaleta mchezaji wa kuongeza intensity ila wewe hukuona hiyo haja hapa mjinga ni wewe.
 
Tuna wachezaji watatu ambao wana mchango wa magoli 5 mpaka sasa kwa msimu huu. Mmoja kwenye hiyo orodha ni Saka, baada ya jeraha kwenye game dhidi ya Bayern Saka atakua nje kwa wiki nane.

Kutokana na hilo swala kwenye press Arteta kasema Dowman ajiandae kwaajili ya kupata minutes. Ngoja tuone dogo ataoffer nini leo akipewa dakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…