We kweli kiazi hivi umeelewa nilichoandika?
Wewe umesema Bayern msimu huu amefungwa magoli ya aina 3, ni kweli au sio kweli?
Km ni hivyo inakubidi ufananishe takwimu za Bayern kwa msimu jana km umeamua kumzungumzia Dowman wa msimu jana. Otherwise sababu zako za "ubora wa Dowmnan wa 2025/26" vs "udhaifu wa Bayern wa 2026/27" hazina mashiko.
Hebu angalia hata wewe mwenyewe unaelewa kweli unachoandika? Rudia tena nilichoandika.
Angalia sasa akili yako 😂.
Mimi nimekupata mfano kwamba stastically Dowman kamzidi Trossard 2025/26, tena kwa pass.. je, km ww utaweza kumpa nafasi Dowman over Trossard kwa takwimu ulizoleta?
Sijasema Madueke, Trossard na Dowman wako benchi, acha kugeuza maneno..
Madueke was already in km ilivyo kwenye mechi ya Bayern. Umebaki na Trossard na Dowman nje, unamuingiza nani na Trossard kazidiwa kupiga pasi na bwana mdogo?