Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Come again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.

Ila sina agenda yoyote mbaya against our players, iwe Madueke, Eze, Dowman, etc.. just against Bayern.. nipo hapa!
Sikuelewi umeandika nini
 
Tumekua dominant kwenye hii mechi in terms of possession ila hatujawa watamu kwenye chances. Zilikuepo chances but finishing ilikua below average.

Huyu Raya anaweza kupokea tena tuzo ya kipa bora. Tangu tupoteze dhidi ya Brighton tumereact vizuri na tumemaintain momentum.

Challenge yetu kwa sasa ni kuscore magoli mengi.
 
Special thanks should go to this man today!
👍🙏💪🏋️
Screenshot_20261024-192632.jpg

On behalf of all gooners, THANKS NICOLAS JACKSON!
 
Hujui kitu kwenye hili.

Hujui kitu kwenye hilo.

Okay sawa.

Goli la kwanza tuliscore kwa Eze kutime a run ya mpira mrefu wa Odegaard. Bayern msimu huu wamefungwa magoli ya long ball, counter na breaking play.

Kwa goli la Eze tayari ilimaanisha tumeshaexploit hilo bado kuexploit na hizo angles mbili.

Counter na breaking play huwezi kuifanya na Kai, ni ngumu sana. On paper Madueke ana qualities za kukupa counter na breaking play lakini in practice hafanyi hivyo.

Badala yake Dowman anaweza kufanya hivyo comfortably kuliko Madueke, msimu wa 25/26 kwenye EPL Dowman amecheza mechi 6 na Madueke kacheza mechi 26.

Dowman hua anaingia kumalizia dakika za mwishoni.

Kwenye hizi mechi Madueke ana magoli 3. Dowman ana goli 1, Madueke ana assist 1 Dowman hana assist. Madueke katengeneza nafasi 22, Dowman katengeneza 4.

Kitakwimu, Dowman ni mpiga pasi mzuri kuliko Madueke, Dowman ana 88% za successful passes wakati Madueke ana 76%.

Long balls, iliyotugea goli la kwanza, Dowman ana 100% kwenye kupiga mipira mirefu Madueke ana 55%.

Dowman kutokana na ana tabia ya kwenda mbele na kuingia kwenye boksi huku anaficha mpira kwenye hizi mechi 6 kawa awarded penati 1. Madueke hapa ana 0.

Madueke alivyoingia, Davies akawa anapanda bila uoga, na goli akascore. Madueke akiingia anakufanya uone possibilities nyingi lakini anaweza asiifikie hata moja.

Dowman ana possibilities labda mbili, akiwepo una uhakika kwamba huyu lazima atataka kulifuata boksi na lazima atajaribu kupeleka mpira mbele.

Nilivyoandika personally ni kwakua mimi siyo wewe wala Arteta, mimi niliamini fursa zipo na kwa forwards tulionao Dowman angeweza kuziexploit.
mkuu mm hata usemaje ila kumuweka Dowman over Madueke kwenye lineup, kwangu ni big NO!!, Dowman bado sana man yani BADO SANA.
 
Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.
 
Sijatizama game ya chelsea vipi kudus kakiwasha huwa namuelewa yule jamaa
 
Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.
Mimi naona Tzolis kule LW ni mtu sahihi. Anahitaji challenge tu ili azidi kuimprove.
 
Back
Top Bottom