Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi naona Tzolis kule LW ni mtu sahihi. Anahitaji challenge tu ili azidi kuimprove.
Japo hajafikia peak yake ana nafasi ya kuboresha kiwango, ila sio wa ubora uleee, kwa timu ya sasa tunahitaji ubora walau wa alexis sanchez hivi.. huenda atakuja kufikia huko, lakink kwa sasa bado, na anahitaji mshindani.
 
Striker sio lazima afunge sana, ni ana mchango gani na matokeo.. yule bobby firmino haluwa mfungaji sana lakini mchango wake unajulikana.

Ukiachana na suala la winger na striker,Mimi siku zote nalia na namba 10 ambaye ni technically gifted.

Hawa low blocks and midblocks team unahitaji namba 10 ambaye ni technically gifted ili kuwa unlock
 
Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.

Sijatizama game ya chelsea vipi kudus kakiwasha huwa namuelewa yule jamaa
Kudus maji kupwa maji kujaa hana muendelezo
 
Kudus maji kupwa maji kujaa hana muendelezo
Basi game nilizo muona mimi alikuwa kwenye ubora wake, kama ni homa ya vipindi hafai, ila nahisi na majeruhi yanamharibu, kuna game niliona anachezeshwa LW nikasema huyu kocha timamu kweli alimnyima uhuru akawa anaruka ruka tu uwanjani
 
Ukiachana na suala la winger na striker,Mimi siku zote nalia na namba 10 ambaye ni technically gifted.

Hawa low blocks and midblocks team unahitaji namba 10 ambaye ni technically gifted ili kuwa unlock
Odegaard nae jau sana, anaupaka paka mpira rangi mnoooo...
Arsenal wenye quality ya kucheza kikosi cha kwanza pale unaanzia kwa raya unaishia kwa rice... huku mbele wote ni homa ya vipindi
 
Screenshot_20261021_133910_Lite.jpg
 
Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.
Hata Haaland ukimleta Arsenal kwa mfumo wa Arteta atecheza kama Gyoceres.
 
Striker sio lazima afunge sana, ni ana mchango gani na matokeo.. yule bobby firmino haluwa mfungaji sana lakini mchango wake unajulikana.
Firmino alikuwaga mbaya, hakufungi lakini anakuua, nilikuwa namuogopa yule fala, dah ila Liverpool ya Klopp ilikuwaga ya moto sana, Fabinho, Trent, becker, Van dijk, Salah, Mane, Firmino akaongezeka na Thiago Alcantara baadae.
 
Leo tupo carabao na Fleetwood.

Weekend tutakua ugenini Anfield, hii ni mechi ya msingi kuliko ya leo.
 
Kikosi kina sura za wachezaji kutoka academy namuona Salmon, O'Neil na Dowman.

Kwa timu mid table nyingi, mfano United, hichi kwao ni kikosi best ni ila sisi tunatumia kuchezea Carabao.

Naamini kitatubeba mpaka muda ambao subs zitahitajika. Tusubiri moto uwake
 
Back
Top Bottom