Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,380
- 5,192
Angalia kitoto chako Dowman mambo anayofanyaWazenge wanatupiga man marking ya kiroho mbaya

Hiyo red alishapata mchezaji wetu tuliyenunua kwa pesa nyingi kipindi hicho anaitwa Pepe. Pepe alikatwa akamkaba mchezaji wa timu pinzaniAngalia kitoto chako Dowman mambo anayofanya
Naona umerudi mzeeHapa mtaani kwetu kuna madogo janja zaidi ya 10 wanaojua mpira kuzidi Kai havertz.
The sad thing Kai havertz ni tegemeo la arsenal kubeba UEFA .
Game na Fleetwood chance million short on target 1 kwa havertz😀😀
Halafu unashangaa mandezi kama havertz wanapata chances nyingi wakina gyokeres hawapati
Mpaka 2045 hukoHivi huyu Kai mkataba wake unaisha lini?
Sidhani na wala sifikiri kama kuna maongezi ya kumuongezea yanaendelea au yataendelea ya kumuongezea mkataba
Hakika.Baada ya Arsenal kutolewa Carabao podcasts zikaalika wachambuzi kuulizana juua ya defeat.
Wachezaji wa Fleetwood wakatafutwa kuulizwa wachezaji wa Arsenal walibehave vipi baada ya mechi. Waliohojiwa wakasema wachezaji walikua positive na walionyesha ushirikiano.
Kocha wa Fleetwood akasema Arteta alikua muungwana kabla na baada ya mechi. Anatamani angepata muda wa kukaa naye ila bahati haikuepo.
Lakini kuna spinnings zikatokea, zikadai wachezaji wa Arsenal hawakuonyesha uungwana. Anyways, a day later Chelsea ikatolewa, no one aliwatafuta wachezaji wa Liverpool na kuhoji.
Now unaweza sema hiyo ni kwakua Chelsea katolewa na Liverpool na Arsenal imetolewa na Fleetwood.
Miezi kadhaa nyuma manchester ilitolewa na Grimsby, hakuna aliyewatafuta wachezaji wa Grimsby.
Arsenal ilifungwa na City, kesho yake Silva na wenzake wakatafutwa na BBC Sports kuhojiwa juu ya mechi. United alifungwa na Brighton, siku kadhaa mbele Arsenal akafungwa ma Brighton.
Media zikamtafuta kocha wa Brighton kumuhoji juu ya mechi.
Misimu kadhaa nyuma nilikua nasema tumefika point Arsenal hatutakiwi kusuluhu, Arteta na Arsenal tumefikia kiwango ambacho kila mpinzani akisikia Arsenal inacheza anawaza Arsenal kushinda tu.
Pamoja na yote lazima tukubali kwamba hicho ni kikombe kisicho na umuhimu kwa timu inayowazia UEFA na Ligi. So tukutane kwenye mechi za msingi
Kwa sasa ukitaka likes na clicks mtandaoni izungumzie ArsenalBaada ya Arsenal kutolewa Carabao podcasts zikaalika wachambuzi kuulizana juua ya defeat.
Wachezaji wa Fleetwood wakatafutwa kuulizwa wachezaji wa Arsenal walibehave vipi baada ya mechi. Waliohojiwa wakasema wachezaji walikua positive na walionyesha ushirikiano.
Kocha wa Fleetwood akasema Arteta alikua muungwana kabla na baada ya mechi. Anatamani angepata muda wa kukaa naye ila bahati haikuepo.
Lakini kuna spinnings zikatokea, zikadai wachezaji wa Arsenal hawakuonyesha uungwana. Anyways, a day later Chelsea ikatolewa, no one aliwatafuta wachezaji wa Liverpool na kuhoji.
Now unaweza sema hiyo ni kwakua Chelsea katolewa na Liverpool na Arsenal imetolewa na Fleetwood.
Miezi kadhaa nyuma manchester ilitolewa na Grimsby, hakuna aliyewatafuta wachezaji wa Grimsby.
Arsenal ilifungwa na City, kesho yake Silva na wenzake wakatafutwa na BBC Sports kuhojiwa juu ya mechi. United alifungwa na Brighton, siku kadhaa mbele Arsenal akafungwa ma Brighton.
Media zikamtafuta kocha wa Brighton kumuhoji juu ya mechi.
Misimu kadhaa nyuma nilikua nasema tumefika point Arsenal hatutakiwi kusuluhu, Arteta na Arsenal tumefikia kiwango ambacho kila mpinzani akisikia Arsenal inacheza anawaza Arsenal kushinda tu.
Pamoja na yote lazima tukubali kwamba hicho ni kikombe kisicho na umuhimu kwa timu inayowazia UEFA na Ligi. So tukutane kwenye mechi za msingi
Aisee nyie kwa kujitekenya wenyewe, hahahaha ..........Kwa sasa ukitaka likes na clicks mtandaoni izungumzie Arsenal
Juzi kocha wenu alisema carabao siyo mpango wenu. Nyinyi mnataka ligi, leo ni nafasi yenu ya kudhihirisha hiloAisee nyie kwa kujitekenya wenyewe, hahahaha ..........