Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ktn ipo azam pia?Nadhani KTN Ya kenya wataonyesha
Mkuu KTN ipo king'amuzi gani?Dstv hata ligi ya Epl watanyanganywa maana ushindani umeongezeka watu wanapanda dau. Azam tv wamewanyanganya Kombe la FA.
Dstv hata ligi ya Epl watanyanganywa maana ushindani umeongezeka watu wanapanda dau. Azam tv wamewanyanganya Kombe la FA.
Hao Azam wamewanyang'anya nani kombe la FA mkuu?Dstv hata ligi ya Epl watanyanganywa maana ushindani umeongezeka watu wanapanda dau. Azam tv wamewanyanganya Kombe la FA.
Star timesNasikia dstv hawataonesha fainali ya europer because hawana rights. Nataka kujua nitaichekia wapi..
msaada wakuu
Usiongee kitu usichokijua ndugu, ligi yoyote inaweza oneshwa na kituo chochote cha tv kama wakiamua kulipia haki za matangazo,,, Suala la dstv kutokuonesha EUROPA na FA kwa ROA (rest of africa) wanalijua wenyewe maana kwao wanaoneshaDstv hata ligi ya Epl watanyanganywa maana ushindani umeongezeka watu wanapanda dau. Azam tv wamewanyanganya Kombe la FA.
Hivi mkuu mfano nimelipia kifurushi cha 11000 naweza badilisha ili nione tu mechi then nikimaliza nirudi kwenye kifurushi changu??STARTIMES.
Uthibitisho huo hapo chini
Usikose LEO Fainali za Europa League Arsenal Vs Chelsea LIVE ST Worldfootball Saa 4 usiku piga *150 *63# sasa kubadilisha kifurushi Uhuru Tsh18000tu kutazama
Naomba link nipate app.Angalieni kwa simu
Hesgoal.com ifungue ktk browser uko fresh sanaNaomba link nipate app.