bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Utabiri wako ni UPI?Majigambo kila Kona ya Dunia
Utabiri wako ni UPI?
Utabiri wako ni UPI?
Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHALUtabiri wako ni UPI?
Si unaona wa darajani wamevurugana mpaka kocha kasusaArsenal inashinda
Si unaona wa darajani wamevurugana mpaka kocha kasusa
Wapigwe tu tufanyeje sasaWafungwe tu hakuna namna
Wapigwe tu tufanyeje sasa
Majigambo alaf ticket zmerudshwaMajigambo kila Kona ya Dunia
Mda ni hakimu mzuri.....
Arsenal anakufa mapema
Mpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
Haiwezekani
Leo ni nyota ya Arsenal