myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Arsenal haijabadilika toka atoke Wenger....iko vilevile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal haijabadilika toka atoke Wenger....iko vilevile
Majigambo kila Kona ya Dunia
Majigambo kila Kona ya Dunia
Mpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
HahahaManabii feki
Manabii feki
Manabii feki
arsenal anaongoza mbili mkuuMimi sio nabii, ni mpiga ramli chonganishi. Matokeo yakoje?
arsenal anaongoza mbili mkuu
hongera sana
Teh ...
Chelsea wanapigwa
Mie ni Arsenal lakini naona 3-1 Chelsea, tunapigwa.
chelsea leo anakaa..
Leo ni nyota ya Arsenal
sawa kakaChelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
mkuu njoo utngue kauliMpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
Atimaye Utabiri wako umetimia. Hongera SanaMpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2