Ahsante mwalimu Kashasha kwako enock Bwigane [emoji343]Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
Bado anabamizwa?Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
vp na forward line yko mmeambulia patupuChelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
dah hzi ndoto nyngne 😂😂Mpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
unatoka na. Kikombe cha uji ama 😂😂#CFC chama la wanaSimwachii nataka nimunyoshe, kila mwaka lazima nitoke na kikombe
dah hzi ndoto nyngne 😂😂
Lini uliona arsenal anashinda/anatwaa ubingwa wa Europe??? Sio UEFA wala Europa ligiArsenal inashinda
Mkuu vipi umeshatengua kauli yako?Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
Maneno mengiiii...wabongo bana, kila mtu kochaChelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
Ndoto za aina hii mtu hua anaota huku anatembea mchana kweupe!dah hzi ndoto nyngne 😂😂
Mmeshinda njaa itakuaArsenal inashinda
TayariMkuu vipi umeshatengua kauli yako?
Asubuhi tu au siyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
Hahahahahaha kweli walivurugana...Si unaona wa darajani wamevurugana mpaka kocha kasusa
Wana suruali..hahahHawana jinsi