Arsenal vs Chelsea

Aiseee
 
Mpaka first half inaisha arsenal 0- Chelsea 2.
Second half dakika ya 51 Arsenal inapata bao.
Dakika ya 74 Arsenal naandika bao la pili.
Dakika ya 86 Arsenal inasokomeka bao la tatu.
Full time Arsenal 3 Chelsea 2
Nakusalimia tu
 
Hahahahaha Chelsea tangu mwaka 2010 haijawahi kumaliza msimu bila kunyakua kombe lolote, msimu huu wa Europa 2018/2019 chelsea hajapoteza match yoyote kuanzia hatua za makundi.

Bangi aliyovuta sari jana nimeikubali

London is blue
Khe khe khe khe khe khe. Na Ni kombe lake la Kwanza katika historia ya maisha yake ya ukocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…