Arsenal vs Chelsea

Arsenal vs Chelsea

Hongera Chelsea Football Club kwa Ushindi wa Europa 2018/19 .
 
Chelsea anabamizwa asubuhi tu kwa sababu wana mchezo ambao Arsenal wanaweza kuuhimili. Nataraji magoli kadhaa ya arsenal ktk mtindo wa counter attack, hii itatokana na Chelsea kupenda umiliki wa mpira lakini madhara hafifu kwa mpinzani. Kingine kitakachoipa ushindi Arsenal ni FOWARD LINE ya Aubameyang na Lacazette aisee! Hawa jamaa ni LETHAL
Yako wapi?
 
Watu na bahati zao. Huyu jamaa apewe lifetime contract.View attachment 1111914
Giroud anabezwa lakini akifanyiwa marekebisho kidogo tu ni striker mzuri.Leo hii ufaransa ni bingwa wa dunia akiwa na giroud kikosini 1st eleven sina imani laiti kama angelikua na lacazete au masho angelikua bingwa.Chelsea leo hii ni bingwa europa akiwa na giroud kikosini.
 
Kabisa

Back
Top Bottom