Arsenal vs FC Barcelona

Arsenal vs FC Barcelona

I love Van Persie goal,sweet,just mwaaaaaaaaah!!!
 
Van Persie..................goooooooooolllllllllllllllllllllllllllll
kwahakika van persie amefunga goli la bora la msimu wa uefa mpk sasa,na arshavin anapiga goli la 2 dkk ya 83
 
Ni raha ilioje,watoto wa wenger wametukanwa na kudharauliwa sana,sasa naona arsena wanapiga pasi mpk 60 barca hawajagusa na ball posession arsenal 75 barca 25 ktk dkk 15 zamwisho,hao ndio the gunners silaha za maangamizi
 
kumbe mpo macho mlishaanza kusingizia wote mnaishi gombs so hamtaangalia mpira
 
kweli sina bahati na magoli wa ars yaani nimeweka kwenye mabomu kurudisha ars 2 safi sana ars..
 
Msifikiri mmepona bado mna mlima kwa hako kagoli ka ugenini
 
Arsenal wamekoswakoswa dakika za majeruhi, mpira umeisha arsenal 2 barca 1.
 
hongera ars, poleni watanzania kwa milipuko ya mabomu.
 
Mungu amejibu sala zetu za leo,thank you GOD,amazing ARSENAL,pamoja daima!!!!
 
at last! Kwa matokeo haya lazma nipate usingz mnono!
 
Back
Top Bottom