Wadau kuelekea mechi kubwa wikiendi hii kati ya arsenal dhidi ya Manchester United hapo jumamosi nimeona sio kesi kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane yatakayokuwa yanajiri mpaka dakika tisini za mchezo huo zitakapokamilika! Karibuni sana wapenda soka wenzangu.
Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.