Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwenye msimamo wa ligi chelsea iko namba ngapi na man united iko namba ngapi?Kwass n shabik wa Conte....Jose hakuna ktu pale nshapga mara 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye msimamo wa ligi chelsea iko namba ngapi na man united iko namba ngapi?Kwass n shabik wa Conte....Jose hakuna ktu pale nshapga mara 3
Labda kama wachezaji wa man united wakiwa wamesimamaArsenal itashinda 3-0
Yule uliyempa tigo, anaamini we ni negative..mpe moyo basii. Asije kufA bureeKwass n shabik wa Conte....Jose hakuna ktu pale nshapga mara 3
Umesema ni gemu Kali sana, mara Man ananafasi ya kushinda!! Umelogwa wewe. Man hawana ubavu wa kutufunga Gunner's amini maneno yangu.Game kali sana ina man ana nafasi kubwa ya kushinda
Okkkkk.....if wishes were horses.....Npo blues ila nataka Wenger asinde huyo fala Jose anamdomo san km mashabik wa timu yake
Ahahaaaaaa.....piga hesabu vizuri ndio utajua tangu fergie aondoke mumeshinda mechi 2 tuu....Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.