Arsenal vs Manchester United

Arsenal vs Manchester United

MOURINHO ANAENDA KUTAFUTA SARE HIYO GEMU.

Never expect MAN U to win the game.
 
Vip Man u alimfunga Hudders ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenger-v-Mourinho-Fight-Meme-10.jpg
 
hatujapoteza mchezo emirates, man u akijitahid draw
 
Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.
Bila kumsahau welbek,atawadueaza kama kawaida yake
 
man.u wanachotafuta n sare tu uwezo wa kumfunga arsn n mdogo sanaà
 
Hii Mechi Man yuu atapigwa tukutane baadaye
 
L
Zamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
Laccazette ni majeruhi , arsenal hawana kiungo wa kukaba , labda elneny ingawa hapangwi
 
Back
Top Bottom