Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanajua kandanda...Man u hawajui mpira
Bila kumsahau welbek,atawadueaza kama kawaida yakeArsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.
Game saa ngapi ?arsenal 1 man u 3
1-3 full time.
Laccazette ni majeruhi , arsenal hawana kiungo wa kukaba , labda elneny ingawa hapangwiZamani wenger alisumbuliwa na vitu viwili uingereza.
1.timu ya man u
2.kocha morinho.
Amevunja huo mwiko wote kwa kumchakaza Manchester United 3 bila tena kampiga 1 na kusare ktk vipindi vya karibuni.
Morinho naye sasa hafurukuti tena kwa wenger. Hii game ni ngumu balaa lakini wenger vijana wake kwa game za hv karibuni wamebadilika kiasi kwamba si mteremko kufungwa na Man United.
Beki ya wenger na kiungo viko vizuri. Laccazate sasa ni moto mkubwa pale mbele zaidi arsenal yoyote anakufunga tu.
Hakika dakika tisini zitaamua but nawapa arsenal ushindi dhidi ya Man united.
Ga
Game saa ngapi ?