arsenal vs tottham 5-2!

arsenal vs tottham 5-2!

Watatukoma tu hawa watoto,wamekua juzi eti wanacheza na kaka
 
Mkuu kuna thread za timu bana haina haja ya kuanzisha sredi ya result. Gunners bana mna matatizo sana
 
Poa jibaba, tunakusubirini Lane nyeupe jumapili ijayo tumalizie hasira zetu za leo.
hivi kumbe hata kibahatisha mnakenua meno?
mi nashindwa kelewa eti mnashangilia kushiriki epl,je wabeba makombe man u watafanyaje
 
Back
Top Bottom