samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Uo uwanja ni Mali ya Arsenal lakini huu uwanja wa taifa ni Mali ya Umma, if you understand what am saying
Wanaong'oa viti ni machizi wa kariakoo wanaitwa matopen vyura fcwamemfunga Burnley katika ligi kuu EPL tena dakika za majeruhi kabisa.goli la mikono miwili waziwazi.refa kaweka mpira kati kocha wenger kashangilia mikono juu kama vile ameokota almasi.lakini nikawa makini kuona kama viti vimeng'olewa jukwaani lakini sijaona.
lakini je ingetokea Taifa kwa hawa watani zetu ingekuwaje.
sasa tuwe wastaarabu bhana.