Arsenal wafunga goli la mikono miwili, viti havijang'olewa

Arsenal wafunga goli la mikono miwili, viti havijang'olewa

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
wamemfunga Burnley katika ligi kuu EPL tena dakika za majeruhi kabisa.goli la mikono miwili waziwazi.refa kaweka mpira kati kocha wenger kashangilia mikono juu kama vile ameokota almasi.lakini nikawa makini kuona kama viti vimeng'olewa jukwaani lakini sijaona.
lakini je ingetokea Taifa kwa hawa watani zetu ingekuwaje.
sasa tuwe wastaarabu bhana.
 
Hilo goli angemfunga tot uwone nn kingetokea Burnley ni kama ndanda fc kwa huku
 
Uo uwanja ni Mali ya Arsenal lakini huu uwanja wa taifa ni Mali ya Umma, if you understand what am saying
 
Mi mbu mbu mbu ya hapa utaiweza.? Walipofungwa wakang'oa waliporudisha goli wakang'oa tena. Halaf unasema refa kasababisha, UNA AKILI WEWE?
 
Uo uwanja ni Mali ya Arsenal lakini huu uwanja wa taifa ni Mali ya Umma, if you understand what am saying

Uliangalia hiyo mechi??? Arsenal ilikuwa ugenini
 
wamemfunga Burnley katika ligi kuu EPL tena dakika za majeruhi kabisa.goli la mikono miwili waziwazi.refa kaweka mpira kati kocha wenger kashangilia mikono juu kama vile ameokota almasi.lakini nikawa makini kuona kama viti vimeng'olewa jukwaani lakini sijaona.
lakini je ingetokea Taifa kwa hawa watani zetu ingekuwaje.
sasa tuwe wastaarabu bhana.
Wanaong'oa viti ni machizi wa kariakoo wanaitwa matopen vyura fc
 
Kuna utofauti wa mechi,goli kama hilo lingefungwa kwenye mechi dhidi ya Totenham ndio ungejua nini maana ya Derby.
 
Mashabiki wa Simba hawana nidhamu.

Wafungiwe kuwakomesha
 
Back
Top Bottom