Arsenal wananipima uwezo wa kuhandle stress au?

Leo sio siku nzuri ya kuangalia mpira
 
Sijaona mchezaji mjinga kama Budo. Hawa Arsenal wanataka kuanza ujinga wao wa mwaka mpya maana kila baada ya mwaka mpya ndio wanazinguaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…