Arsenal wananipima uwezo wa kuhandle stress au?

Sijaona mchezaji mjinga kama Budo. Hawa Arsenal wanataka kuanza ujinga wao wa mwaka mpya maana kila baada ya mwaka mpya ndio wanazinguaga
Kusema kweli leo hawajacheza hawa madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…