Shida ilikua ni wenger, mzee alikua kisiki kisichong'oka. Akija kocha mwingne atakua na adabu sio km mzee wenger hata timu izngue vp hana pressure. Lakin pia yule mzee akili za mpira na mbinu za kisasa zlishaisha soo timu angeipeleka shimon. Kwan wew ulitegemea akae mpaka lini zaidi ya hyo miaka 22?