Arsenal watamkumbuka Wenger soon

Arsenal watamkumbuka Wenger soon

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mbona hata Liverpool, Hotspur, Everton, Man U, nk hata wao hawawi .mabingwa kwa miaka mingi kwanini iwe nongwa kwa Arsenal?
 
Liverpool na Spurs hazijawahi kuchukua EPL
 
Mbona hata Liverpool, Hotspur, Everton, Man U, nk hata wao hawawi .mabingwa kwa miaka mingi kwanini iwe nongwa kwa Arsenal?
Acha u.inga wewe...miaka 15 bila epl bado unaiita timu kubwa. Hiki kibabu kis.enzi kilitaka kutudanganya eti hii nayo ni timu kubwa.
 
Shida ilikua ni wenger, mzee alikua kisiki kisichong'oka. Akija kocha mwingne atakua na adabu sio km mzee wenger hata timu izngue vp hana pressure. Lakin pia yule mzee akili za mpira na mbinu za kisasa zlishaisha soo timu angeipeleka shimon. Kwan wew ulitegemea akae mpaka lini zaidi ya hyo miaka 22?
 
Back
Top Bottom