Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

Arsenal yaibuka na Ushindi Old Trafford baada ya miaka 14

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
20201101_213723.jpg


Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United

Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 14
 
Ndio soka, mara moja katika miaka 14 sio mbaya.
 
Hebu kwanza!! Nilikuwa darasa la ngapi! Sijui duh!
 
Yeeees, congratulation,my favorite team, the gunners
 
Man United ni Singida United iliyozubaa
 
Naona wameamua kusaidia timu nyingine zivunje rekodi
IMG-20201105-WA0001.jpg
IMG-20201105-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom