Arsenal, Yanga zawa ving'ang'anizi

Arsenal, Yanga zawa ving'ang'anizi

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Timu hizi mbili zote zina rekodi ya 49 unbeaten, zote zimefungwa mechi moja moja za ligi, zote zimedroo mechi mbili mbili tu za ligi na zote zimeng'ang'ania kileleni mwa ligi.

Arsenal kacheza mechi 18 huku Yanga kacheza mechi 19 ana kiporo cha mechi moja akicheza anakuwa na mechi 19 sawa na Yanga, Arsenal ana goal difference 28 huku Yanga ana GD 27, Arsenal ana points 47 ana kiporo ambacho akicheza na kushinda atakuwa na points 50 sawa na za Yanga.
 
Yanga ndio inajua aseno. Ila aseno wanaijua simba tuu kwa hapa Tz.
 
Yanga ndio inajua aseno. Ila aseno wanaijua simba tuu kwa hapa Tz.
Unazungumzia Madunduka FC hii iliyochapwa juzi na Jana kutoa draw.. nyie Madunduka FC hebu wekeni usajili wenu wa Maana hili dirisha dogo tuuone
 
Back
Top Bottom