Arsenal yaondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa EPL

Tofauti ya pointi 9 na aliye juu kwa mechi 17 ndio matumaini ya ubingwa yameisha?? Unasahau kuwa ligi ina jumla ya mechi 38.. inaonekana umetawaliwa na hisia na mihemuko na sio uhalisia..
 
Asante ndugu hatujui tufanyeje. Sijui na wagonjwa wenzetu Mani Yu wanaendeleaje nao?
 
Arsenal hawajawahi kuwa kwenye mbio za ubingwa kwa miaka 12 sasa
 
Tofauti ya pointi 9 na aliye juu kwa mechi 17 ndio matumaini ya ubingwa yameisha?? Unasahau kuwa ligi ina jumla ya mechi 38.. inaonekana umetawaliwa na hisia na mihemuko na sio uhalisia..
Nyie hata kama ndio mngekuwa mnaongoza ligi
Baada ya mechi ya 38 nafasi yenu huwa ipo pale pale..!!
 
Back
Top Bottom