Arsenal’s Tittle race is Over

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya kutoka sare na vibonde Southampton , sasa ni dhahiri kwamba mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu zimekwisha kabisa , na kuna hatari kwamba nafasi ya pili nayo inayoyoma .

Tunawapa pole sana wachezaji wa timu hii kwa juhudi kubwa walizozionyesha na kiukweli inasikitisha sana .

Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la bwana lihimidiwe
 
Mbio za sakafuni
Utasemaje mbio za sakafuni team inaongoza tangia mwanzo wa league? Alafu kumbuka hizi speculations zetu tu kutokana na draws mbili ambazo amezipata huku mpinzani wake akiwa na kiporo cha mechi mbili mkononi pia anaoenda kukutana nao kukamilisha mzunguko. What if game yao Arsenal akashinda?
Tusubirie
 
Nyota njema huonekana asubuhi
 
Bado anaongoza ligi kumbuka hivyo nafasi ya ubingwa bado ipo.

Japo ni ukweli kwa timu yoyote kuwa bingwa kwenye ligi sio kazi rahisi.
 
Man City kila msimu anachukua ndoo baada ya mpinzani kutepeta mechi za mwisho jamaa ni kama anafukuza mwizi kimyakimya mwenyewe utasimama uombe poo hii ilitokea pia kwa Liverpool
Sio kweli. Msimu uliopita Liverpool ndio alikuwa anafukuzia ubingwa huku man city akiongoza ligi na hatimae kuwa bingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…