Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo unakaribia , Ushaisha [emoji38][emoji38][emoji38]Ugomvi wako na Arsenal ya Arteta unakaribia kufika mwisho.
Hizo ni mechi za kawaida,mimi nimezungumzia ratiba sio mechi.man city kua na mechi za epl na uefa tayari iyo kwake ni ratiba ngumu.Ili ujue hiyo kwake ni ratiba ngumu angalia jinsi atakavyobadilisha badilisha kikosi kwenye hizi mechi za ligi,tofauti na arsenal.Arsenal ana mechi ngumu ila ratiba yake haimbani kama city.Ratiba ngumu?
Tizama hiii ya Arsenal dhidi ya Man city, Chelsea, Brighton na New castle.
Niambie team gani rahisi hapo kwa Arsenal?
basi hayaNaunga mkono hoja, lakini Arteta ni kocha mzuri nafasi ya pili hakuna aliyeitegemea.
Uko sahihi arsenal ni kama jongoo miguu mingi ila speed ya kutembea hamna kitu.Arsenal sio timu ya makombe hata hiyo nafasi ya pili hakustahili kuwepo hapo.Naunga mkono hoja, lakini Arteta ni kocha mzuri nafasi ya pili hakuna aliyeitegemea.