Arsenal’s Tittle race is Over

Arsenal’s Tittle race is Over

Ratiba ngumu?
Tizama hiii ya Arsenal dhidi ya Man city, Chelsea, Brighton na New castle.

Niambie team gani rahisi hapo kwa Arsenal?
Hizo ni mechi za kawaida,mimi nimezungumzia ratiba sio mechi.man city kua na mechi za epl na uefa tayari iyo kwake ni ratiba ngumu.Ili ujue hiyo kwake ni ratiba ngumu angalia jinsi atakavyobadilisha badilisha kikosi kwenye hizi mechi za ligi,tofauti na arsenal.Arsenal ana mechi ngumu ila ratiba yake haimbani kama city.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
9C70DA0A-4742-48DB-91DA-10CA9E768A15.jpeg

Mambo yasiwe mengi
 
Naunga mkono hoja, lakini Arteta ni kocha mzuri nafasi ya pili hakuna aliyeitegemea.
Uko sahihi arsenal ni kama jongoo miguu mingi ila speed ya kutembea hamna kitu.Arsenal sio timu ya makombe hata hiyo nafasi ya pili hakustahili kuwepo hapo.

Manyumbu wangekuwa na kikosi Bora hiyo nafasi ingekuwa ya kwao ila nyumbu zikimaliza top Kwa ni ushindi so sio mbaya kushika nafasi ya tatu
 
Back
Top Bottom