Arsene Wenger aipongeza Tottenham

Arsene Wenger aipongeza Tottenham

Joined
Apr 8, 2017
Posts
18
Reaction score
12
_95862270_arsene-wenger-reveals-truth-behi.jpg

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika Uwanja wa White Hart Lane kwa mabao ushindi wa bao 2-0 na kuwahakikishia nafasi ya kumaliza juu ya mahasimu wao kwa mara ya kwanza toka mwaka 1995.
TEMBELEA willyd193.blogspot.com kwa habari zaidi

Mabao ya Delle Alli na Harry Kane aliyefunga kwa penati yalitosha kuwahakikishia ushindi Spurs huku nafasi ya Arsenal wakimaliza kumaliza kwenye nafasi nne za juu
 
nilipoona dembele hayupo basi nikasema asernal wanafungwa maana poch aliweka wakabaji pale kati
 
Back
Top Bottom