Full shangwe, Sisi tulichanja mbuga kitambo sana ndio maana tunawaona kama washamba na wenye wivu. Go take a dump.Nasema Kenya mnapata tabu sana! Wivu umewajaa. Tanzania inazidi kuchanja mbuga. Huyo Theresa May akija Kenya itakuwa Uingereza? Acha ushamba kaka. Anakuja, analala na anaondoka nyie mnabaki na njaa zenu, ufisadi wenu na ukabila wenu.
Nairobi ni kitu gani kwetu kwa sasa. DAR ndio kila kitu kwa sasa. Nakuoneni fala sana kila mkiandika na kutuma jumbe zenu lazima mtaje Dar. Dar inakuhusu nini wewe mpuuzi. Tajeni miji mingine ya Afrika Mashariki. Sisi tunamiliki ndege za sisi wenyewe hatuna za ndondo za kuchangia na Mzungu. Tupo na chuma cha pua Magufuli lazima mnyoshe maelezo zama hizi. Kisebusebu na kiroho papo!Full shangwe, Sisi tulichanja mbuga kitambo sana ndio maana tunawaona kama washamba na wenye wivu. Go take a dump.
Unaweweseka tu.Nairobi ni kitu gani kwetu kwa sasa. DAR ndio kila kitu kwa sasa. Nakuoneni fala sana kila mkiandika na kutuma jumbe zenu lazima mtaje Dar. Dar inakuhusu nini wewe mpuuzi. Tajeni miji mingine ya Afrika Mashariki. Sisi tunamiliki ndege za sisi wenyewe hatuna za ndondo za kuchangia na Mzungu. Tupo na chuma cha pua Magufuli lazima mnyoshe maelezo zama hizi. Kisebusebu na kiroho papo!
Kanywe chang'aa huko Njoro. Hatuwezi kukaa na kujadili upuuzi usio na tija. Ni upumbavu wa hali ya juu kujadili JKIA hata uwe uwanja mkubwa sana hautuhusu sisi. DAR yatosha ndege kubwa na ndogo zatua na biashara zinaendelea. Watalii sasa wanaungana na kuchukua ndege za kwao wanakuja nazo kutalii. Tunachohitaji Afrika sio uwingi wa ndege na ukubwa wa viwanja vya ndege pekee. Tunahitaji muono wa fursa sawa kwa watu wetu. Kukiwa na jamii fisadi na ukabila fursa ya uwanja mkubwa na ndege nyingi na kitovu chenu cha Nairobi vitaishia mikononi mwa mafisadi tu wananchi wengi wakibakia kwenye lindi la Umaskini wa kutupwa.Hamuwezi jisifia chochote hub juu 2 or 3 celebrities wamekuja.
We use numbers. All your airports combined do not get half as much traffic as JKIA.
Wenger is just one of the famous ones coming or passing through JKIA. But there are millions more.
Dar ndio mnyama yupi?Nairobi ni kitu gani kwetu kwa sasa. DAR ndio kila kitu kwa sasa. Nakuoneni fala sana kila mkiandika na kutuma jumbe zenu lazima mtaje Dar. Dar inakuhusu nini wewe mpuuzi. Tajeni miji mingine ya Afrika Mashariki. Sisi tunamiliki ndege za sisi wenyewe hatuna za ndondo za kuchangia na Mzungu. Tupo na chuma cha pua Magufuli lazima mnyoshe maelezo zama hizi. Kisebusebu na kiroho papo!
Utajua mwenyeweDar ndio mnyama yupi?
Kanywe chang'aa huko Njoro. Hatuwezi kukaa na kujadili upuuzi usio na tija. Ni upumbavu wa hali ya juu kujadili JKIA hata uwe uwanja mkubwa sana hautuhusu sisi. DAR yatosha ndege kubwa na ndogo zatua na biashara zinaendelea. Watalii sasa wanaungana na kuchukua ndege za kwao wanakuja nazo kutalii. Tunachohitaji Afrika sio uwingi wa ndege na ukubwa wa viwanja vya ndege pekee. Tunahitaji muono wa fursa sawa kwa watu wetu. Kukiwa na jamii fisadi na ukabila fursa ya uwanja mkubwa na ndege nyingi na kitovu chenu cha Nairobi vitaishia mikononi mwa mafisadi tu wananchi wengi wakibakia kwenye lindi la Umaskini wa kutupwa.
..It's a fact, JKIA is the hub of East and central Afrika for the time being BUT If Wenger and the likes had a choice, they would opt for other routes! It's a shame, to some destinations you have to pass there!Hamuwezi jisifia chochote hub juu 2 or 3 celebrities wamekuja.
We use numbers. All your airports combined do not get half as much traffic as JKIA.
Wenger is just one of the famous ones coming or passing through JKIA. But there are millions more.
..It's a fact, JKIA is the hub of East and central Afrika for the time being BUT If Wenger and the likes had a choice, they would opt for other routes! It's a shame, to some destinations you have to pass there!
Acha kumbwelambwela toa takwimu ya GDP ya Nairobi na ya Tanzania. Tunazungumza GDP jumuishi na uchumi funganishi na maisha ya watu sio watu watatu wa kabila Fulani tu?Wewe na watanzania wenzako ndio mabingwa wa kupima ukubwa. Juzi mlijigamba hapa kwamba Dar ni kubwa kuliko New York City.
Bottomline ni yanayo endelea kwa hio airport ama city.
GDP ya Nairobi inatoshana na Tanzania nzima.
Ukubwa wa JKIA sijui, lakini inaweza kuwa ndogo kuliko JNIA. What matters ni traffic yake.