Arsene Wenger in Kenya

Arsene Wenger in Kenya

Nasema Kenya mnapata tabu sana! Wivu umewajaa. Tanzania inazidi kuchanja mbuga. Huyo Theresa May akija Kenya itakuwa Uingereza? Acha ushamba kaka. Anakuja, analala na anaondoka nyie mnabaki na njaa zenu, ufisadi wenu na ukabila wenu.
Full shangwe, Sisi tulichanja mbuga kitambo sana ndio maana tunawaona kama washamba na wenye wivu. Go take a dump.
 
Nairobi ni kitu gani kwetu kwa sasa. DAR ndio kila kitu kwa sasa. Nakuoneni fala sana kila mkiandika na kutuma jumbe zenu lazima mtaje Dar. Dar inakuhusu nini wewe mpuuzi. Tajeni miji mingine ya Afrika Mashariki. Sisi tunamiliki ndege za sisi wenyewe hatuna za ndondo za kuchangia na Mzungu. Tupo na chuma cha pua Magufuli lazima mnyoshe maelezo zama hizi. Kisebusebu na kiroho papo!
 
Unaweweseka tu.
 
Hamuwezi jisifia chochote hub juu 2 or 3 celebrities wamekuja.
We use numbers. All your airports combined do not get half as much traffic as JKIA.

Wenger is just one of the famous ones coming or passing through JKIA. But there are millions more.
Kanywe chang'aa huko Njoro. Hatuwezi kukaa na kujadili upuuzi usio na tija. Ni upumbavu wa hali ya juu kujadili JKIA hata uwe uwanja mkubwa sana hautuhusu sisi. DAR yatosha ndege kubwa na ndogo zatua na biashara zinaendelea. Watalii sasa wanaungana na kuchukua ndege za kwao wanakuja nazo kutalii. Tunachohitaji Afrika sio uwingi wa ndege na ukubwa wa viwanja vya ndege pekee. Tunahitaji muono wa fursa sawa kwa watu wetu. Kukiwa na jamii fisadi na ukabila fursa ya uwanja mkubwa na ndege nyingi na kitovu chenu cha Nairobi vitaishia mikononi mwa mafisadi tu wananchi wengi wakibakia kwenye lindi la Umaskini wa kutupwa.
 
Dar ndio mnyama yupi?
 
Wewe na watanzania wenzako ndio mabingwa wa kupima ukubwa. Juzi mlijigamba hapa kwamba Dar ni kubwa kuliko New York City.
Bottomline ni yanayo endelea kwa hio airport ama city.
GDP ya Nairobi inatoshana na Tanzania nzima.
Ukubwa wa JKIA sijui, lakini inaweza kuwa ndogo kuliko JNIA. What matters ni traffic yake.
 
Hamuwezi jisifia chochote hub juu 2 or 3 celebrities wamekuja.
We use numbers. All your airports combined do not get half as much traffic as JKIA.

Wenger is just one of the famous ones coming or passing through JKIA. But there are millions more.
..It's a fact, JKIA is the hub of East and central Afrika for the time being BUT If Wenger and the likes had a choice, they would opt for other routes! It's a shame, to some destinations you have to pass there!
 
Not in a 100 years will every country have a direct route to every country. There will always exist hubs.
 
What has always intrigued me about Kenyans is their strange sense of patriotism. Most of them are extremely poor but seem not to realise their downtroddenness relative to the country's wealth.

They pride themselves with Nairobi's posh cars, skyscrapers, Kenya Airways and the like but in reality, these are owned by a bunch of Kenyan politicians and oligarchs. Most Kenyans have never boarded their planes!! More than half of Kenya's wealth, mostly in the form of land is in the hands of political families!! The Kenyatta's dynasty alone owns hundreds of thousands of acres!!

We all know that Kenya has never been a coherent nation-state. The Presidency is confined only to people from two or three tribes. So far, the popular resentment against the fiefdom turning into a monarchy has proved futile!!

The majority of Kenyans are worse off than in Tanzanian, where at least, development has been people-centred.

I don't see how Uhuru Kenyatta's tour of the US, China, Theresa May's tour of Kenya or Arsene Wenger's layover in Nairobi would change the Kenyan conundrum!!

The contradiction between Kenyans' sense of patriotism and the majority's poverty, along with persisting tribalism, corruption, nepotism, rent-seeking and the like is really intriguing!!
 
Wewe na watanzania wenzako ndio mabingwa wa kupima ukubwa. Juzi mlijigamba hapa kwamba Dar ni kubwa kuliko New York City.
Bottomline ni yanayo endelea kwa hio airport ama city.
GDP ya Nairobi inatoshana na Tanzania nzima.
Ukubwa wa JKIA sijui, lakini inaweza kuwa ndogo kuliko JNIA. What matters ni traffic yake.
Acha kumbwelambwela toa takwimu ya GDP ya Nairobi na ya Tanzania. Tunazungumza GDP jumuishi na uchumi funganishi na maisha ya watu sio watu watatu wa kabila Fulani tu?
 
Back
Top Bottom