Arsene Wenger kushuhudia Kiapo cha Goerge Weah

Arsene Wenger kushuhudia Kiapo cha Goerge Weah

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wenger ambaye mchango wake katika mafanikio ya soka ya Weah unafahamika , amewaambia waandishi wa habari kwamba amealikwa na Goerge Weah mwenyewe kuhudhuria siku ya kuapishwa kwake .

" I have been invited by Goerge to come the day he will be made President "

Chanzo - Goal.com
 
Itapendeza zaidi akienda George Masatu , Kibadeni au Mkwasa.
 
Back
Top Bottom